mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Ushindi usitunyamazishe huyu kocha tumhoji kikosi aliita yeye?
Je anauhakika gani wa viwango vya wachezaji aliowaita Kama vile Beno kakolanya alimuona wapi kwenye ushindani? Hivyo hivyo kwa metacha toka mwezi wa 12 amecheza mechi 3 tu yeye kocha anauhakika gani wa kiwango chake,,
Feisal hana timu hajui anafanyaje mazoezi yeye kamuita kwa vigezo vipi?
Bwana mdogo Ally msengi kocha alimuona wapi? Kwenye mechi 15 za mwisho za klabu yake ya swallow hajakaa hata Benchi Ila ndani ya wiki mbili kocha amemridhika kuliko aliowaona wakicheza...
Huyu kocha naona anaendeshwa na remote
Tujadili Hawa walioitwa walioachwa tuwavungie kwanza