mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Unamaanisha kuwa kocha wa Taifa stars anahudhuria session za mazoezi za vilabu vya ligi kuu?Una point!
Ila itakuwa kocha kawaona mazoezini ndo maana Job kala shavu la kulia la Kapoor badala ya namba 4 yake na Novatus kala shavu la kushoto la Amrish Puri badala ya namba 6 yake
Huyu Adel ni Professa mwingine kwenye soka letu Tumpe muda.
Kocha Adel anaangalia unachezaje anakupa namba ukomae nayo utajua mwenyewe.
Tukumbuke pia ushindi wa Taifa Stars Jana uliletwa na Yanga players kupitia fighting and wining spirit yao maana ilisambaa timu nzima.
Yanga players wanajiamini na hawajui kupoteza mchezo! Unaweza kusoma nyuso zao Hali hiyo iliwapa hamasa wachezaji kama Mzamiru na Himid
Mkuu tusidanganyane , uganda wenyewe kwa sasa ni choka mbaya . Fikiria kama Okwi bado ni mchezaji wa kutumainiwa wa kikosi hicho unadhani kuna timu hapo ?Una point!
Ila itakuwa kocha kawaona mazoezini ndo maana Job kala shavu la kulia la Kapoor badala ya namba 4 yake na Novatus kala shavu la kushoto la Amrish Puri badala ya namba 6 yake
Huyu Adel ni Professa mwingine kwenye soka letu Tumpe muda.
Kocha Adel anaangalia unachezaje anakupa namba ukomae nayo utajua mwenyewe.
Tukumbuke pia ushindi wa Taifa Stars Jana uliletwa na Yanga players kupitia fighting and wining spirit yao maana ilisambaa timu nzima.
Yanga players wanajiamini na hawajui kupoteza mchezo! Unaweza kusoma nyuso zao Hali hiyo iliwapa hamasa wachezaji kama Mzamiru na Himid
Haadi vya bondeni maana Ally msengi wa swallows hajacheza tangu mwezi wa 9 Ila kaitwa na huko swallow hakai hata benchiUnamaanisha kuwa kocha wa Taifa stars anahudhuria session za mazoezi za vilabu vya ligi kuu?
Mazoezi ya timu gani kaenda ndani ya wiki moja?? Kafika south Afrika akamuona Ally msengi?Una point!
Ila itakuwa kocha kawaona mazoezini ndo maana Job kala shavu la kulia la Kapoor badala ya namba 4 yake na Novatus kala shavu la kushoto la Amrish Puri badala ya namba 6 yake
Huyu Adel ni Professa mwingine kwenye soka letu Tumpe muda.
Kocha Adel anaangalia unachezaje anakupa namba ukomae nayo utajua mwenyewe.
Tukumbuke pia ushindi wa Taifa Stars Jana uliletwa na Yanga players kupitia fighting and wining spirit yao maana ilisambaa timu nzima.
Yanga players wanajiamini na hawajui kupoteza mchezo! Unaweza kusoma nyuso zao Hali hiyo iliwapa hamasa wachezaji kama Mzamiru na Himid
Hata ule mfumo alioutumia jana, atakuwa alipangiwa aisee! Kiukweli timu haikuwa na mtiririko mzuri katika uchezaji. Na hasa kwenye kipindi cha kwanzaUshindi usitunyamazishe huyu kocha tumhoji kikosi aliita yeye?
Je anauhakika gani wa viwango vya wachezaji aliowaita Kama vile Beno kakolanya alimuona wapi kwenye ushindani? Hivyo hivyo kwa metacha toka mwezi wa 12 amecheza mechi 3 tu yeye kocha anauhakika gani wa kiwango chake,,
Feisal hana timu hajui anafanyaje mazoezi yeye kamuita kwa vigezo vipi?
Bwana mdogo Ally msengi kocha alimuona wapi? Kwenye mechi 15 za mwisho za klabu yake ya swallow hajakaa hata Benchi Ila ndani ya wiki mbili kocha amemridhika kuliko aliowaona wakicheza...
Huyu kocha naona anaendeshwa na remote
Tujadili Hawa walioitwa walioachwa tuwavungie kwanza
timu ya TFF hiyo ndugu, sasa ndiyo atapewa muda kidogo kidogo kufanya marekebisho, ila hii ya kuanzia kapewa list. Na ndiyo maana baada ya mechi ya HOLOYA kocha aliongea na Kapombe na Shabalala - waliteta ila hatujui waliongea nini.Ushindi usitunyamazishe huyu kocha tumhoji kikosi aliita yeye?
Je anauhakika gani wa viwango vya wachezaji aliowaita Kama vile Beno kakolanya alimuona wapi kwenye ushindani? Hivyo hivyo kwa metacha toka mwezi wa 12 amecheza mechi 3 tu yeye kocha anauhakika gani wa kiwango chake,,
Feisal hana timu hajui anafanyaje mazoezi yeye kamuita kwa vigezo vipi?
Bwana mdogo Ally msengi kocha alimuona wapi? Kwenye mechi 15 za mwisho za klabu yake ya swallow hajakaa hata Benchi Ila ndani ya wiki mbili kocha amemridhika kuliko aliowaona wakicheza...
Huyu kocha naona anaendeshwa na remote
Tujadili Hawa walioitwa walioachwa tuwavungie kwanza
mbona washabiki wa Yanga wanasema game ilikuwa biliani.Hata ule mfumo alioutumia jana, atakuwa alipangiwa aisee! Kiukweli timu haikuwa na mtiririko mzuri katika uchezaji. Na hasa kwenye kipindi cha kwanza
ndugu kocha mpya anapoteuliwa,kuitisha mafaili ya wachezaji ya miezi iliyopita na kuangalia video ya michezo isiyopungua 5 ya wachezaji,na pia hupokea ushauri wa mkurugenzi wa ufundinwa tff ndipo anafanya uteuziUshindi usitunyamazishe huyu kocha tumhoji kikosi aliita yeye?
Je anauhakika gani wa viwango vya wachezaji aliowaita Kama vile Beno kakolanya alimuona wapi kwenye ushindani? Hivyo hivyo kwa metacha toka mwezi wa 12 amecheza mechi 3 tu yeye kocha anauhakika gani wa kiwango chake,,
Feisal hana timu hajui anafanyaje mazoezi yeye kamuita kwa vigezo vipi?
Bwana mdogo Ally msengi kocha alimuona wapi? Kwenye mechi 15 za mwisho za klabu yake ya swallow hajakaa hata Benchi Ila ndani ya wiki mbili kocha amemridhika kuliko aliowaona wakicheza...
Huyu kocha naona anaendeshwa na remote
Tujadili Hawa walioitwa walioachwa tuwavungie kwanza
Mafaili gani ya Datus Peter?ndugu kocha mpya anapoteuliwa,kuitisha mafaili ya wachezaji ya miezi iliyopita na kuangalia video ya michezo isiyopungua 5 ya wachezaji,na pia hupokea ushauri wa mkurugenzi wa ufundinwa tff ndipo anafanya uteuzi