Kocha mpya wa Simba(MBUMBUMBU)hana maajabu yoyote kwenye Soka

Mabata wenzangu jamaa katupiga na kitu kizito,tupinge kwa hoja
 
Wakati huo Yanga iko nafasi ya ngapi kwenye rank ya dunia?
 
Leo ndo nimejua kumbe simba ni kubwa kuliko getafe A
 
Huu mtandao wa transfer markt ni kama Google Wikipedia tu, muhuni yeyote anaweza kuedit na kuupdate details.

Hiyo siyo reliable source.
Nipe reliable source tupitie
 
Alaumiwe Gonzalez sijui nani yule CEO wa Simba Barabara. Nilijua tu ataibukia Spain kwa maana ndio posts zake za Insta insta na twtrr hao ndio watu wake

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…