Kocha mpya wa Simba(MBUMBUMBU)hana maajabu yoyote kwenye Soka

Mpaka sasa kaifikisha simba CAF confederation cup kwenye hatua yao wanayoishiaga hivyo nadhani watampa [emoji736]
Ana kombe la Azam nadhani watampa [emoji736]
Ubingwa wa ligi kuu hati hati
FA azam bado ana nafasi ya kumfanya aondoke na kombe msimu huu.
 
Eti ubingwa wa ligi kuu hatihati😄😄

Kuna watu mna moyo kweli.😄😄
 
TUMEPIGWAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…