Mwafrika akienda kufanya kazi ulaya anakuwa wa maana. Ila mzungu akifunga safari kuja Afrika kufanya kazi si maana..Ugonjwa huu utaisha lini?Huu ugonjwa wa wazungu sijui utaisha lini tanzania. Kocha wa maana hawezi akafunga safari kutoka ulaya akaja tanzania.
Kocha hajui kiswahili hafu wachezaji karibia wote wanajua kiswahili na hawajui Kiinglish wala kifrenchi. Watapata tabu sanaKlabu ya soka ya Simba 'Wekundu wa Msimbazi' ya jijini Dar es salaam, leo imemtambulisha rasmi kocha mpya Mbelgiji Patrick Aussems, kuifundisha Klabu hiyo kuelekea kwenye maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu sambamba na michuano ya Kimataifa.
Kocha Aussems amesaini mkataba wa mwaka mmoja kukinoa klabu hiyo akichukua nafasi ya Pierre Lechantre raia wa Ufaransa aliyemaliza muda wake.View attachment 813259
Mwafrika akienda kufanya kazi ulaya anakuwa wa maana. Ila mzungu akifunga safari kuja Afrika kufanya kazi si maana..Ugonjwa huu utaisha lini?
Alikuwa muuza MatikitiHuyu unaweza kuta ni mlima chumvi tu huko kwao ubelgiji
Ni saidie wewe ni lipi.Kwa mtazamo wako huo. Lakini hujui lengo la klabu ya Simba SC
Ni saidie wewe ni lipi.
Najua presha yetu kubwa ni kwenye mechi za kimataifa msimu ujao?
huku shitholeMwafrika akienda kufanya kazi ulaya anakuwa wa maana. Ila mzungu akifunga safari kuja Afrika kufanya kazi si maana..Ugonjwa huu utaisha lini?