hivi hawa makocha wanalipwa kiasi gani??
maana hao wazungu wakija huku wanachotewa tu hela zetu bila kujali tunafungwa au lah ila wabongo mshahara wao haueleweki kabisa.
ni bora hizo hela wale wabongo wenzetu kuliko hao vitifire wanaoletwa bila faida yoyote