Kocha msaidizi wa Pamba jiji Themy Felix afariki dunia

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Pamba Jiji Fc themy Felix amefariki Dunia leo Oktoba 17,2026 akipatiwa matibabu kwenye hospitali ya Kanda Bugando.

Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na klabu ya Pamba Jiji FC kupitia ukurasa wa Instagram wa klabu hiyo huku chanzo Cha kifo chake hakijajulikana.



​
 
Apumzike kwa Amani, mwanasoka mwenzetu!!
 
Legend, hope you accomplished your mission. 🕊️
 
Themy Felix 'Mnyama' anzi akiwa mchezaji alikuwa anajua sana kufumania wavu.

Apumzike kwa amani mtu huyu, ameondoka akiwa bado mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…