William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Sikuwaelewa Simba kwa Fadlu David. Record mbovu mno aakiwa kocha mkuu. Anakuja kupewa timu kwa record za akiwa asistance kocha.
Kila timu ikienda mapumziko inarudi ikiwa mbovu kuliko awali. Timu ilishinda kwa uwezo binafsi tu wa wachezaji sio mfumo.
Mechi ya mbili za awali Simba inabebwa. Hatuoni timu ikipiga hatua.
Fadlu akiendelea na timu na marefa wakawa Fear na kusiwepo bahasha akyamama Simba itashuka daraja. Hakuna kocha hakuna kocha hakuna kocha.