William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Utakuwa hauko sawa aisee.!Sikuwaelewa Simba kwa Fadlu David. Record mbovu mno aakiwa kocha mkuu. Anakuja kupewa timu kwa record za akiwa asistance kocha.
Kila timu ikienda mapumziko inarudi ikiwa mbovu kuliko awali. Timu ilishinda kwa uwezo binafsi tu wa wachezaji sio mfumo.
Mechi ya mbili za awali Simba inabebwa. Hatuoni timu ikipiga hatua.
Fadlu akiendelea na timu na marefa wakawa Fear na kusiwepo bahasha akyamama Simba itashuka daraja. Hakuna kocha hakuna kocha hakuna kocha.
Huu sio uzi wangu wa kwanza kuhusu huyu fadlu na profire zake mbovuWatu kama wewe ni hatari kwa team, ulitegemea Simba hatofungwa?
Team zinasajili ili zije kufungwa na Simba?
Mechi moja tu unatoa malalamiko, simba sasa angala na ya msimu uliopita, else wangekula magoli mengi sana leoSikuwaelewa Simba kwa Fadlu David. Record mbovu mno aakiwa kocha mkuu. Anakuja kupewa timu kwa record za akiwa asistance kocha.
Kila timu ikienda mapumziko inarudi ikiwa mbovu kuliko awali. Timu ilishinda kwa uwezo binafsi tu wa wachezaji sio mfumo.
Mechi ya mbili za awali Simba inabebwa. Hatuoni timu ikipiga hatua.
Fadlu akiendelea na timu na marefa wakawa Fear na kusiwepo bahasha akyamama Simba itashuka daraja. Hakuna kocha hakuna kocha hakuna kocha.
Kwahiyo leo simba imedraw kwasababu kocha kakosea wapi?Huu sio uzi wangu wa kwanza kuhusu huyu fadlu na profire zake mbovu
TawileSikuwaelewa Simba kwa Fadlu David. Record mbovu mno aakiwa kocha mkuu. Anakuja kupewa timu kwa record za akiwa asistance kocha.
Kila timu ikienda mapumziko inarudi ikiwa mbovu kuliko awali. Timu ilishinda kwa uwezo binafsi tu wa wachezaji sio mfumo.
Mechi ya mbili za awali Simba inabebwa. Hatuoni timu ikipiga hatua.
Fadlu akiendelea na timu na marefa wakawa Fear na kusiwepo bahasha akyamama Simba itashuka daraja. Hakuna kocha hakuna kocha hakuna kocha.
Mechi ya Azam imeshinda kwa mazabe, mechi ya Dodoma jiji refa kaingilia kati leo pia bila refa kufanya makeke ilikia aibuMechi moja tu unatoa malalamiko, simba sasa angala na ya msimu uliopita, else wangekula magoli mengi sana leo
Nilikuwa nasema ya kwamba siku zote bingwa ucheza kibingwa lakini wale Wenye uelewa na Mpira walikuwa wananielewa, Uwezi kuona ata siku Moja yanga akidondosha point kiboya boya ata kama amecheza vibaya, lazima aondoke na point muhimu lakini kwa Simba Wala icho kitu akijataka kusubilia muda mrefu kimetokea haraka Tena kwenye uwanja Bora vipi ligi ikichanganya itakuwaje?Sikuwaelewa Simba kwa Fadlu David. Record mbovu mno aakiwa kocha mkuu. Anakuja kupewa timu kwa record za akiwa asistance kocha.
Kila timu ikienda mapumziko inarudi ikiwa mbovu kuliko awali. Timu ilishinda kwa uwezo binafsi tu wa wachezaji sio mfumo.
Mechi ya mbili za awali Simba inabebwa. Hatuoni timu ikipiga hatua.
Fadlu akiendelea na timu na marefa wakawa Fear na kusiwepo bahasha akyamama Simba itashuka daraja. Hakuna kocha hakuna kocha hakuna kocha.
Una uhakika? Azam walikatika wenyewe, dodoma jiji yes kulikua kuna anomaly, hii ya leo ni makosa ya defence ya coastal.Mechi ya Azam imeshinda kwa mazabe, mechi ya Dodoma jiji refa kaingilia kati leo pia bila refa kufanya makeke ilikia aibu
Subiri tarehe 19 utapata jibuUna uhakika? Azam walikatika wenyewe, dodoma jiji yes kulikua kuna anomaly, hii ya leo ni makosa ya defence ya coastal.
Kwa mechi ya leo simba wamecheza vibaya, wamekosa focus probably waliidharau coastal
But haimaanishi team ni mbovu, huwez perform mechi zote
Muda utasema. Leo hutaelewa. Na nimesema najua hafukuzwi leo. Bila refa tutajua tu.Kwahiyo leo simba imedraw kwasababu kocha kakosea wapi?
Muda utasema. Leo hutaelewa. Na nimesema najua hafukuzwi leo. Bila refa tutajua tu.
Wachezaji wote wameshuka uwezo. Tutatukana wachezaji tu kwa uwezo mbovu wa kocha
Kocha bado anajitafuta sana sjajua kama Simba watamvumilia mpaka msimu uishe. Hilo sidhani.Nakubaliana na wewe 100% umegundua hilo mapema . Binafsi bado naona uwezo wake mdogo sana . Najua wengi hawawez kuelewa lkn muda ni hakimu wa HAKI.