Kocha Mwinyi Zahera ameelemewa,asaidiwe ushauri nasaha

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Povu baada ya kufungwa na Mtibwa. Ashauriwe kujikita na mechi zake,kama uendeshaji au maamuzi yana shida basi izungumzie game zake tu. Hili la kurukia progress ya Simba na kuihusisha na kushindwa kwake ni kama kuwatafutia TFF sababu za kumfungia.

Mpira unachezwa hadharani,Yanga haiko vizuri,haina wachezaji wa kulazimisha matokeo kama kina Boko na Kagere,haiwezi kutoboa
 
Kama kuna Kocha ambaye amefanikiwa kuwafanya Wana Yanga SC wote popote pale walipo kuwa ni Mazuzu na Majuha kabisa basi ni huyu ( Bandeko Nangai ) Pedejee Mwinyi Zahera. Akili zote za Wana Yanga SC amezishikilia Kiganjani mwake kama Remote ya StarTimes.
 
Povu baada ya kufungwa na Mtibwa. Ashauriwe kujikita na mechi zake,kama uendeshaji au maamuzi yana shida basi izungumzie game zake tu. Hili la kurukia progress ya Simba na kuihusisha na kushindwa kwake ni kama kuwatafutia TFF sababu za kumfungia.

Mpira unachezwa hadharani,Yanga haiko vizuri,haina wachezaji wa kulazimisha matokeo kama kina Boko na Kagere,haiwezi kutoboa
Zahara amezungumza Kitu cha kweli, fahamu Amezungumza Wakati Yanga ilipokua ikishiriki Mashindano ya Caf nailivyokua ikitendewa na Tff iliyopo sasa. Asichofahamu Zahera Sisi Watanzania bado Hatujawa Tayari Kucheza Mpira. Aendezake Walipo tayari apa anapoteza muda. Kunaubabaishaji wakiwango chajuu Sana. Anaongea vituvya msingi lakini Hakuna atakae kuelewa kwakua Utaonekana unatafuta visingizio. Tuna vilaza wengi wanao ongoza Mpira,Kwenye vilabu mbaka Tff.
 
!
!
Kwa Hiyo Mtibwa Wao Waliambiwa Saa Mechi Saa Ngapi Lini? Anatafuta Sababu Tu Huyu. Ni Kocha Wa Hovyo. Alitakiwa Kuwa Mwanamuziki Huyu"
 
Huyu mzee amepanick, kwani Simba wecheza saa ngapi mbona wao wameshinda? Hao wachezaji wa mtibwa kwani wao wamecheza saa kumi? Kwamba wachezaji wake ndo wamezoea kula saa sita lkn wa timu zingine hawajazoea muda huo... Huyu mzee anazeeka vibaya...
 
Hyu kocha hakosi sababu!!tatizo yanga zile mechi 10 za nyumbani mwanzoni Kwa ligi ziliwadekeza sana,Kwa bahati nzuri hakuna mwanasimba aliyelalamika,sasa wako mikoani wanatibiwa ipaswavyo wanalalamika tu!!
 
Zahara amezungumza Kitu cha kweli, fahamu Amezungumza Wakati Yanga ilipokua ikishiriki Mashindano ya Caf nailivyokua ikitendewa na Tff iliyopo sasa. Asichofahamu Zahera Sisi Watanzania bado Hatujawa Tayari Kucheza Mpira. Aendezake Walipo tayari apa anapoteza muda. Kunaubabaishaji wakiwango chajuu Sana. Anaongea vituvya msingi lakini Hakuna atakae kuelewa kwakua Utaonekana unatafuta visingizio. Tuna vilaza wengi wanao ongoza Mpira,Kwenye vilabu mbaka Tff.
Changamoto zipo ni kweli,ila Simba inahusika vipi hapo,halafu lawama zinakuja pale anapokuwa hajawina tu

Tilieni mlambe dawa
 
Mechi inayofuata, Zahera Anachaeza na Azam.
Nitafuatilia Kusikia Atakacho Zangumza Baada ya Mchezo.
Akifungwa tu Lazima Atailaumu Simba SC, na TFF.
Na Ndivyo Itakavyo Kuwa
 
tff inaibeba sana simba

Hata Mzazi akiona Mtoto wake Mmoja kati ya Saba alionao ndiyo anafanya vyema Kitaaluma na Kitabia basi automatically tu huonyesha Mapenzi yake makubwa Kwake kuliko wengineo. Kwa Yanga SC mbovu mbovu ya sasa yenye Wavuta Bangi watupu, Omba Omba na wasiojielewa ulidhani TFF itawapenda kweli? Wewe Kocha kila Siku ni Kulalamika tu na Kuisema TFF badala ya Kujenga Kikosi chake unadhani TFF itampenda au kupoteza nae muda?
 
Huyu kocha alishazoea kuwina zile mechi za mwanzo ambazo nyingi alicheza nyumbani sana unapokwenda away kuna changamoto nyingi.
 
Back
Top Bottom