OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Pyeeeeee booo
Pyeeeeee booo
Povu baada ya kufungwa na Mtibwa. Ashauriwe kujikita na mechi zake,kama uendeshaji au maamuzi yana shida basi izungumzie game zake tu. Hili la kurukia progress ya Simba na kuihusisha na kushindwa kwake ni kama kuwatafutia TFF sababu za kumfungia.
Mpira unachezwa hadharani,Yanga haiko vizuri,haina wachezaji wa kulazimisha matokeo kama kina Boko na Kagere,haiwezi kutoboa
Zahara amezungumza Kitu cha kweli, fahamu Amezungumza Wakati Yanga ilipokua ikishiriki Mashindano ya Caf nailivyokua ikitendewa na Tff iliyopo sasa. Asichofahamu Zahera Sisi Watanzania bado Hatujawa Tayari Kucheza Mpira. Aendezake Walipo tayari apa anapoteza muda. Kunaubabaishaji wakiwango chajuu Sana. Anaongea vituvya msingi lakini Hakuna atakae kuelewa kwakua Utaonekana unatafuta visingizio. Tuna vilaza wengi wanao ongoza Mpira,Kwenye vilabu mbaka Tff.Povu baada ya kufungwa na Mtibwa. Ashauriwe kujikita na mechi zake,kama uendeshaji au maamuzi yana shida basi izungumzie game zake tu. Hili la kurukia progress ya Simba na kuihusisha na kushindwa kwake ni kama kuwatafutia TFF sababu za kumfungia.
Mpira unachezwa hadharani,Yanga haiko vizuri,haina wachezaji wa kulazimisha matokeo kama kina Boko na Kagere,haiwezi kutoboa
Povu baada ya kufungwa na Mtibwa. Ashauriwe kujikita na mechi zake,kama uendeshaji au maamuzi yana shida basi izungumzie game zake tu. Hili la kurukia progress ya Simba na kuihusisha na kushindwa kwake ni kama kuwatafutia TFF sababu za kumfungia.
Mpira unachezwa hadharani,Yanga haiko vizuri,haina wachezaji wa kulazimisha matokeo kama kina Boko na Kagere,haiwezi kutoboa
Kivip inaibeba au jana Yanga kacheza saa 8 na Simba kacheza saa 12 jioni?? Au hizo lawama basi tutff inaibeba sana simba
Kwelitff inaibeba sana simba
Bora awe anavaa jeziHili shati analovaa Kocha was Yanga ni moja tu siku zote au anayo nengi
Changamoto zipo ni kweli,ila Simba inahusika vipi hapo,halafu lawama zinakuja pale anapokuwa hajawina tuZahara amezungumza Kitu cha kweli, fahamu Amezungumza Wakati Yanga ilipokua ikishiriki Mashindano ya Caf nailivyokua ikitendewa na Tff iliyopo sasa. Asichofahamu Zahera Sisi Watanzania bado Hatujawa Tayari Kucheza Mpira. Aendezake Walipo tayari apa anapoteza muda. Kunaubabaishaji wakiwango chajuu Sana. Anaongea vituvya msingi lakini Hakuna atakae kuelewa kwakua Utaonekana unatafuta visingizio. Tuna vilaza wengi wanao ongoza Mpira,Kwenye vilabu mbaka Tff.
tff inaibeba sana simba