njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
hawahitaji gundi kibano kikianza wataanza kulalamika na karia na tff yakeAchukue gundi awaunganishe
Wagumu ni vizee sana, gundi umedunda[emoji36]Achukue gundi awaunganishe
sio miezi mitatuMiezi mitatu si Yanga itakuwa imeshatoka Caf Champions League?
mtani acha uchawiKwisha habari,mechi na Rivers utd imekwisha Rivers wameshatangulia mguu mmoja.
Si kocha wako huyo unaemlipa mihela ndo kasema mpaka miezi 3 ipite ndo timu itaungana!mtani acha uchawi
Ngoja umoja wa wavuvi huko naijeria ukawatenganishe zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miezi mitatu si Yanga itakuwa imeshatoka Caf Champions League?
Anawaandaa Utopolo kisaikolojia na matokeo ya uwanjani hicho kikundi kitakapoboronga.Haa walahi kudadeeeekiiii hapa hata takataka za redioni zilizokouwa blinded na bahasha za khaki za wakwepa kodi hawataweza kulizungumzia kabisa.
Kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi ametua nchini jana na kutamka kwamba bado hajapata muunganiko katika timu yake licha ya kuwa nchini Morocco kwenye maandalizi ya msimu mpya.
Akizungumza na waandishi wa habari, Nabi amesema:
“Muunganiko wa timu bado, tunahitaji muda kama mwezi au miezi mitatu kwa sababu timu haijengwi kwa muda mfupi.
Wachezaji wote tuliowasajili ni wazuri kwa sababu tulikuwa tunawafuatilia, tukipata muda zaidi tutakuwa bora zaidi,” alisema Nabi.
Miezi mitatu Ni January huko wakati wao wanaunganika, Simba atakuwa anahesabu mechi kadhaa mbeleMiezi mitatu si Yanga itakuwa imeshatoka Caf Champions League?
DaahWagumu ni vizee sana, gundi umedunda[emoji36]
[emoji849][emoji849] January hii au nyingine?Miezi mitatu Ni January huko wakati wao wanaunganika, Simba atakuwa anahesabu mechi kadhaa mbele
kuchukua ubingwa wa 5.
Kocha anawaandaa kisaikolojia.
Wacha wewe!! 😁😁😁😁 Na ndiyo January hiyooo inaishia ishia!! Na Simba inahesabia tu ubingwa wa 5 mfululizo 🥵Miezi mitatu Ni January huko wakati wao wanaunganika, Simba atakuwa anahesabu mechi kadhaa mbele
kuchukua ubingwa wa 5.
Kocha anawaandaa kisaikolojia.
😁🤣😁😅😂Wacha wewe!! 😁😁😁😁 Na ndiyo January hiyooo inaishia ishia!! Na Simba inahesabia tu ubingwa wa 5 mfululizo 🥵