parolko tarantura
Senior Member
- Mar 28, 2023
- 149
- 243
Mbona ni kama upande ule wanafurahia ?Katika Club, Makocha, wachezaji wanakuja na kuondoka. Hakuna uchawi wowote hapo. Akiondoka atakuja mwingine.
Hiyo furaha haiondoi huo uhalisia.Mbona ni kama upande ule wanafurahia ?
naby mayele diara hawa watu hawapaswi kubaki yanga sema yanga walivyo ving'ang'anizi sio kama simba ukifika dau yanga watakuyumbisha sana ukitaka kuondoka [emoji16][emoji16][emoji16]Naby Haez baki. Lazima ataondoka. Watu wanaojua mpira duniani... Wanaona...ubora wa kocha na wachezaji..
Yanga ni utopolo vile na Naby kawafikisha mpaka fainali ya Shirikisho.
Mayele pia anaondoka..sidhani kama atabaki.
Ofa lazima zitakuja tuu...ni suala la muda...kwa uwezo waliouonesha naby na mayele..hawatobaki tena Yanga.
Mi nipo paleee..
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Wewe hujapata pa kwenda pia karibuNaby Haez baki. Lazima ataondoka. Watu wanaojua mpira duniani... Wanaona...ubora wa kocha na wachezaji..
Yanga ni utopolo vile na Naby kawafikisha mpaka fainali ya Shirikisho.
Mayele pia anaondoka..sidhani kama atabaki.
Ofa lazima zitakuja tuu...ni suala la muda...kwa uwezo waliouonesha naby na mayele..hawatobaki tena Yanga.
Mi nipo paleee..
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Nabi, Mayele na Diarra ni misumari kwenye mioyo ya Makolo. Hiyo ndiyo maana ya ujumbe wako.naby mayele diara hawa watu hawapaswi kubaki yanga sema yanga walivyo ving'ang'anizi sio kama simba ukifika dau yanga watakuyumbisha sana ukitaka kuondoka [emoji16][emoji16][emoji16]
Aziz kiiSio mbaya
Hata mayele wakipata ofa nzuri wamuuze tu Hela ndefu.
Lazima klabu zifanye biashara. Kubalance vitabu vya mahesabu
Mayele ni bidhaa iliyo sokoni ikipata mnunuaji mzuri iuzwe.
Wachezaji wafuatao waachane nao
Azizi Ki
Morisson
Kisinda
Hawa hawana levo za yanga
Azizi Ki ni underpeformer ameonesha sio mchezaji wa kumtegemea.
This time wasake vipaji vipya wavielete jangwani.