Kocha Nabi ni zaidi ya Xavi Hernandez wa Barcelona

Kocha Nabi ni zaidi ya Xavi Hernandez wa Barcelona

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kwa wanaojua mpira vizuri watakubaliana na mimi ila wale wabishi watabisha kwasababu Xavi ni kocha wa Barcelona kwa hiyo wao wanamuona ni kocha bora zaidi ya Nabi.

Tactics za Xavi ni za kizamani zaidi ndiyo maana mara nyingi Barcelona wakikutana na timu kubwa au timu inayocheza "deffance total" hawatoboi.
Kama leo nimecheki mchezo wao ndiyo nikadharau, Xavi bado sana anahitaji kujifunza mpira wa kisasa.

Wewe unaona timu pinzani wako nyuma sana wanashambulia ku conter attack bado unacheza mpira wa tik tak kumtafuta namba 9 ili afunge, kwani pale katikati alikuwa hana watu wakuzalisha shuti za mbali kama Fei Toto na wengine?

Ila ukicheki mechi nyingi za Nabi akiona unacheza mpira wa kuzuia zaidi sana anatumia mfumo wa mashambulizi ya kati yaani mfumo wa kuzalisha shuti katikati ya uwanja ndiyo kitu Xavi leo alishindwa kutumia.

Tatics za Nabi zipo nyingi sana.
FB_IMG_1664920045502.jpg
FB_IMG_1664920021227.jpg
 
Kwa hiyo ulitaka ili ionekane ana mbinu za kisasa basi timu yake isifungwe? Kwani huyo Nabi si kafungwa mwezi mmoja na nusu uliopita na VIPERS mbona hakutumia mbinu hizo asipoteze tena home?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ulitaka ili ionekane ana mbinu za kisasa basi timu yake isifungwe? Kwani huyo Nabi si kafungwa mwezi mmoja na nusu uliopita na VIPERS mbona hakutumia mbinu hizo asipoteze tena home?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tofautisha mechi za kirafiki dhidi ya mechi shindani. Mechi za kirafiki mwalimu anapima vitu vingi! Hivyo hata ikatokea timu ikafungwa! Sawa tu.

Ila ukija sasa kwenye mechi za ushindani, matokeo ndiyo kila kitu.
 
Kama unashindwa kueshimu mtu binafsi basi jitahidi kueshimu maendeleo ya soka la ulaya huwezi Kulinganisha level ya soka analofundisha XAVI na kocha wako Xavi yupo kweny Bara ambalo linaongoza Kwa kutoa vilabu Bora Duniani na Michuano Bora iwe Kwa ligi na vilabu bingwa jitaidi kuwa na heshima mtu anakutana na makocha wakubwa na vilabu vikubwa Duniani kama vile Bayer Munich ,Real Madrid,Altetico Madrid afu unakuja kumtukana ovyo ovyo kocha wako yupo kweny nchi ambayo kweny soka ni changa sana hasa Kwa level ya Duniani mtu anakutana na vilabu ambavyo vina makocha hawana hata leseni ya CAF afu unamlinganisha na XAVI anayekutana Kila siku na Kila Carlo anceloti,Diego Simeone,
 
Kiukweli Xavi kwenye mbinu za kimpira bado sana ila kumlinganisha na Nabi ni kumkosea heshima.
 
Back
Top Bottom