Kocha Nasreddine Nabi kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2021/2022?

Joined
Dec 17, 2019
Posts
19
Reaction score
41
Kwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC ulivyo mpaka sasa ni dhahiri moja kwa moja bingwa wa NBC msimu wa 2021/22 ni Young Africans SC
d16b2fd5-8945-410d-97b8-ba663246c1dc.jpg
 
acha mungu aitwe mungu..... Siju kwa nini mungu alifanya maajabu ya namna hii...kututenganisha Sisi simba wenye upeo mkubwa na hawa utoh viazi....yani utoh kichwani wepesi sana, uwezo wa kufiri mdogo, hebu fuatilia nyuzi wanazoandika humu utafikiri mtu katoka kuchunga ng'ombe kachokaa halafu ndo anapewa kazi ya kuandika humu.....

mfano: angalia hii thread.. anaanza na tetesi ...ukianza kusoma habari haiendani na tetesi.. yaani wanaandika ili kujaza servrer tu.... labda cjui ni furaha iliyopitiliza baada ya miaka minne hii huzuni...??
 
Teseka for ur only risk
 
Kwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC ulivyo mpaka sasa ni dhahiri moja kwa moja bingwa wa NBC msimu wa 2021/22 ni Young Africans SCView attachment 2184311
Utopolo nao ni binadamu .Wakati mwingine nao wanahitaji furaha. Miaka 4 ktk majonzi siyo mchezo. Hongereni leo mumekabidhiwa kombe. Rai yangu tu ni kwamba , msiende kutuaibisha kimataifa kama mlivyofanya kwa Al -Masry pale kirumba na Rivers utd kwa Mkapa kubinuliwa ndani na nje.
 
Bado mechi 11 tayari kawa bingwa?
Aisee mbona bado?
 
Bado mechi takribani 11, gap ni points 10 ambazo ni sawa na Yanga apoteze mechi 3 na atoe droo 1 huku Simba ashinde zote...kwenye mpira hili linawezekana

Kama gap litaendelea kuwa hivi, Yanga itabidi ashinde mechi 8 kati ya 11 ili awe bingwa

Safari bado...
 
Sasa We unaona ni Simba gani hapa ya kuweza kushinda mechi zote hzo..
Kwanza inabidi useme gal ni points 13.. maana machi ya April 30 tushaimaliza tayari
 
acha mungu aitwe mungu..... Siju kwa nini mungu alifanya maajabu ya namna hii...kututenganisha Sisi simba wenye upeo mkubwa na hawa utoh viazi....yani utoh kichwani wepesi sana, uwezo wa kufiri mdogo, hebu fuatilia nyuzi wanazoandika humu utafikiri mtu katoka kuchunga ng'ombe kachokaa halafu ndo anapewa kazi ya kuandika humu.....

mfano: angalia hii thread.. anaanza na tetesi ...ukianza kusoma habari haiendani na tetesi.. yaani wanaandika ili kujaza servrer tu.... labda cjui ni furaha iliyopitiliza baada ya miaka minne hii huzuni...??
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado mechi takribani 11, gap ni points 10 ambazo ni sawa na Yanga apoteze mechi 3 na atoe droo 1 huku Simba ashinde zote...kwenye mpira hili linawezekana

Kama gap litaendelea kuwa hivi, Yanga itabidi ashinde mechi 8 kati ya 11 ili awe bingwa

Safari bado...
Mkuu kwani safari bado tu?
 
Ligi bado mbichi
Kumbe mlikuwepo
acha mungu aitwe mungu..... Siju kwa nini mungu alifanya maajabu ya namna hii...kututenganisha Sisi simba wenye upeo mkubwa na hawa utoh viazi....yani utoh kichwani wepesi sana, uwezo wa kufiri mdogo, hebu fuatilia nyuzi wanazoandika humu utafikiri mtu katoka kuchunga ng'ombe kachokaa halafu ndo anapewa kazi ya kuandika humu.....

mfano: angalia hii thread.. anaanza na tetesi ...ukianza kusoma habari haiendani na tetesi.. yaani wanaandika ili kujaza servrer tu.... labda cjui ni furaha iliyopitiliza baada ya miaka minne hii huzuni...??
. Una hali gani huko?
 
Back
Top Bottom