MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Waligombana katika Mechi ya Derby Timu ilipokuwa Vyumbani kwa Chama kuzikataa Mbinu za Kocha Pablo ambazo aliziona zisingesaidia mbele ya Yanga SC na Kocha kuona anadharaulika.
Tafadhali Simba SC hasa Msemaji Ahmed Ally usilificbe hili kwani nina uhakika nalo 100% kwakuwa ndani ya Simba SC yako nina Marafiki zangu wakubwa na wenye Ushawishi na Nguvu Kikosini.