Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Pitso Mosimane aomba kuachia nafasi ya ukocha Mkuu wa klabu ya Al Ahly.
Mosimane aliandika barua kwa bodi ya Al Ahly SC akiomba kuondoka baada ya kuwaongoza kwenye kupata mafaniko makubwa kwenye michuano mbalimbali walioshiriki.
Taarifa zinaeleza kuwa pamoja na kupoteza mechi ya fainali lakini Rais wa Al Ahly alikuwa tayari kuendelea kupata huduma ya kocha huyo.
===
Pitso leaves in high esteem, he can be proud of all his achievements at the Club.