Wazoee kufungwa????????inabidi awazoee watanzania
Mimi nilikuwa uwanjani na kwenye michezo lazima ukubali kushindwa uinapobidi... ukweli ni kuwa vijana wamejitahidi sana ila ushambuliaji bado ni tatizo kubwa sana kwa timu yetu ya taifa na afadhali timu hii inayoundwa na mchanganyiko wa wachezaji kuliko ya mimi sio mimi ndio ( maximo ) maana majority walikuwa vijana wa jangwani na kidogo wa msimbazi