Kocha Ranieri atimuliwa Fulham

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,898
Reaction score
14,413
Kocha mkuu wa timu ya Fulham ametimuliwa kufuatia kipigo cha mabao2-0 kutoka kwa timu ya Southmpton. Kocha huyo aliyewahi kuiongoza Leicester city kutwaa ubingwa wa England alipata ushindi mara moja katika michezo 16 aliyoiongoza timu hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa Fulham wapo 10 points from safety, with just 10 matches to go. sidhani kama watajinasua kushuka daraja

the Legend☆
 
Ranieri amebeba mkosi wa Moyez...
Scott Parker amepewa jukumu kumalizia msimu
 
ha ha ha

pumbavu yani mtu kapandisha timu ligi kuu alafu kum♥m♥k€ mnafika tu mnamfukuza yule kocha namuonea huruma kweli not ranieri

watu wa mpira tu ndo wamenielewA

cityzen chairman am here
 
Afike mahali apumzike tu. Umri umeenda, pesa zina mwisho na anazo za kutosha kumalizia maisha yake. Ya nini kujitia aibu uzeeni?

Vyema akabaki na fairtale yake ya Leicester.
 
Hivi timu kama simba hata wakafundishwa na sir Alex f. inaweza kuchukua ubingwa wa Africa?
 
Hivi timu kama simba hata wakafundishwa na sir Alex f. inaweza kuchukua ubingwa wa Africa?
Nani kakwambia kua Simba ni timu ? Timu gani haina kitega uchumi ?
 
Hivi huwa wanaomba nauli?Those hopeless chaps!Wanafanya nini pale?They have to go to hell!Hahahahaaa
[emoji2][emoji2][emoji2]game zote za mikoani mpaka sasa nauli zimetoka kwenye michango ya wanachama. Na ndo ilikua sababu ya kuwaomba TFF 1st round wapige game nyingi taifa ili wapate mda zaidi wa kujichanga kuweza kupeleka timu mikoani 2nd round. afu bado wanajitoa ufahamu na kuibeza Simba, wakati kimoyo moyo ukweli wanaujua kwa sasa Simba ipo level nyingine

the Legend☆
 
Hahahahaaa! Akili zao zote kawafichia mzee Akilimali kwenye bukta!Kuna watu hapo mkuu?
 
Hahahahaaa! Akili zao zote kawafichia mzee Akilimali kwenye bukta!Kuna wstu hapo mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mi ndo maana nilishaachaga kitambo tabia ya kubishana na wanayanga kuhusu mpira. Hamna sababu ya kuendeleza ligi ya kubishana na mashabiki wa timu ambayo haituwezi kwa chochote, inakua ni uonevu

the Legend☆
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mi ndo maana nilishaachaga kitambo tabia ya kubishana na wanayanga kuhusu mpira. Hamna sababu ya kuendeleza ligi ya kubishana na mashabiki wa timu ambayo haituwezi kwa chochote, inakua ni uonevu

the Legend☆
Hahahahaaa! Namuita Shadeeya aje aone tunavyomsimanga.
 
Hahahahaaa! Namuita Shadeeya aje aone tunavyomsimanga.
[emoji2][emoji2][emoji2]muite tu mkuu, ila akitaka kubishana utaendelea nae wewe. Mi nshaacha kubishana nao hao, sahivi tunapaswa kubishana na al ahly, tp mazembe, esperance, kina orlando pirates n.k. ndo level zetu hizo

the Legend☆
 
[emoji2][emoji2][emoji2]muite tu mkuu, ila akitaka kunishana utaendelea nae wewe. Mi nshaacha kubishana nao hao, sahivi tunapaswa kubishana na al ahly, tp mazembe, esperance, kina orlando pirates n.k. ndo level zetu hizo

the Legend☆
Hahahahaaa! Aaaa mkuu,siyo haki.Nao ni viumbe tu.Twende nao hivyohivyo hata kwa kuitikia tu..."mmh"...!Ila mechi yao na Alliance walipata taabu sana hadi nikalikumbuka lile shairi la ..."Karudi baba mmoja kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili"...!Horrible!
 
Hahahahaa, kazi walikua nayo jana. Ila yanga wanafki sana, siku hizi kuna kikundi kinakaaga ule upande wao wa kusini pale taifa wameibuka na style ya kuja na bendera ya Congo kuonesha support yao kwa Vita

the Legend☆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…