nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Jamani kama hauna popcorn kanununue haraka sana tena shushia na MO juice na kama una roho ndogo basi katafute Mo energy upate nguvu, Mzulu keshaanza mambo yake huko vyura vyurani bora hata anko Msolwa kastuka mapema na kuleta protection ya Davis Mosha na seif magari, aisee hii ngoma tamu sana...LE goooooooo
Nikiripoti toka kurasini bandarini ni mimi Nzagambadume a.k.a Mzee TOZI , mzee M BAD kabisa kiboko ya majitu yenye tamaa za pesa, wazee wa bandari meli hiyooooo pooooooh
=====
CEO wa klabu ya Young Africans sc Senzo Mazingiza
kaanza kazi.

- Inaelezwa yeye ndiye aliyependekeza kufuta cheo cha afisa muhamasishaji katika klabu ya Young Africans sc, ndio maana baada ya mkataba wa Nugaz kumalizika hajaongezwa, cheo hicho kimekufa kwa kifo cha kawaida (Natural death)
- Safu ya uongozi hasa wakuajiriwa katika klabu hiyo inaendelea kupangwa, usishangae kuona mabadiliko kwenye baadhi ya vyeo.
- Wale waliozoea oyaoya katika klabu ya Young Africans sc waanze kupasha