Kocha Senzo Mazingiza kaanza mkono wa chuma huko Yanga

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Jamani kama hauna popcorn kanununue haraka sana tena shushia na MO juice na kama una roho ndogo basi katafute Mo energy upate nguvu, Mzulu keshaanza mambo yake huko vyura vyurani bora hata anko Msolwa kastuka mapema na kuleta protection ya Davis Mosha na seif magari, aisee hii ngoma tamu sana...LE goooooooo

Nikiripoti toka kurasini bandarini ni mimi Nzagambadume a.k.a Mzee TOZI , mzee M BAD kabisa kiboko ya majitu yenye tamaa za pesa, wazee wa bandari meli hiyooooo pooooooh

=====
CEO wa klabu ya Young Africans sc Senzo Mazingiza kaanza kazi.
  • Inaelezwa yeye ndiye aliyependekeza kufuta cheo cha afisa muhamasishaji katika klabu ya Young Africans sc, ndio maana baada ya mkataba wa Nugaz kumalizika hajaongezwa, cheo hicho kimekufa kwa kifo cha kawaida (Natural death)
  • Safu ya uongozi hasa wakuajiriwa katika klabu hiyo inaendelea kupangwa, usishangae kuona mabadiliko kwenye baadhi ya vyeo.
  • Wale waliozoea oyaoya katika klabu ya Young Africans sc waanze kupasha
 
Yah inabidi asafishe Haswa.
Mambo ya ukomandoo tupa kule.

Huyo Mwamba namwelewa sana.
Sizani kama kuna mtu pale Yanga asiyefaham utendaji wa Senzo.

Ana mifumo yake.
Kumbe ana mifumo yake sio ya kitaasisi?!! Huoni kuwa yanga inapaswa iendeshwe kama taasisi na sio mifumo ya uyo mzulu ambae amekosa kazi uko kwao.
 
Restructuring kwenye taasisi yoyote nikawaida sana hasa akija kiongozi mwingine........kwahiyo siyo ajabu labda kama unataka kutengeneza tu story
 
Kuelekea kwenye mabadiliko,lazima baadhi ya watu wataumia tu kwa nafasi zao..

Tuvumiliane!!
 
Akifanya barbra wa simba ni ngongwa ila huyu nzi wa kijani heko
Waandishi wa habari ni ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Mzungumzue mkurugenzi nyumba ndogo ya Mudy.
 
**MODS acheni kubadili tittle:KOCHA senzo ndo nani?
 
Wewe nawe Ni small house ya Muddy maana si kwa thread hizi kutwa nzima
KWA LEO NIKO KWENYE JUKUMU ZITO LA KITAIFA KU REKEBISHA TABIA YA LOPOLOPO HAKUNA TUSI LOLOTE LITAKALONITOLEA FOCUS , UNIKUMBUSHE KESHO TUTU KANANE ,SAWA ,MTOTO M LITTLE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ