kulangwa22
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 739
- 546
pia kipa, hamna kipa pale.
hapa kuna uwezekano wa Brazil kuiona kwenye Luninga tu....
haya mambo hayaendi na maombi ni Talent na juhudi tu...., ndio maana unaweza ukashinda kanisani au makaburini kama uwezo mdogo utaishia kuwatajirisha waganga.., na kupata sugu za magoti kwa kupiga magoti