Kocha Shedrack Nsajigwa atangaza kung'atuka ndani ya Klabu ya Yanga

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kocha msaidizi wa Klabu ya Yanga Shedrack Nsajigwa ametangaza kung'atuka rasmi ndani ya Klabu ya Yanga.
 
Kocha msaidizi wa Klabu ya Yanga Shedrack Nsajigwa ametangaza kung'atuka rasmi ndani ya Klabu ya Yanga.View attachment 794522

Afadhali kabisa...huyu ana mchango mkubwa wa Yanga kufanya vibaya...kocha anaungana na wachezaji kulalamika..hafai kabisa...good riddance'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…