Kocha Simba amefunikwa na vivuli vya waamuzi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kiukweli timu ya Simba inashinda mechi zake kwa mbinde ikionekana kupata matokeo kwa bahati na sibu tu, pengine kwa kusaidiwa na udhaifu wa waamuzi na mipango ya nje ya uwanja.

Kama TFF na Serikali wakisawazisha suala la waamuzi nchini huenda tukashuhudia Simba ikipata matokeo hasi chini ya kocha huyu wa sasa.

Simba mtaendelea kuwategemea waamuzi hadi lini? maana mchezo wa mpira ni mchezo wa wazi unaochezwa kwenye mwanga wa kutoka kila mtu kuona kinachoendelea uwanjani. Tunamtia aibu muwekezaji wetu, hadi kulazimika kutishia kujiuzulu ili kusaidia timu ikazane.
 
Mechi NNe mfululizo Timu ya Simba imepata magoli KIMAGUMASHI
 
Simba tunashinda kutokana na uwezo binafsi wa wachezaji lakini kocha ameshindwa kutumia wachezaji,kwenye defense ndo kuna tatizo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ile kona ya jana baada ya kipa kudakia ndani kati ya Yanga na Lipuli.... Ni moja ya uwekezaji mbovu wa Simba
Usitake kuficha aibu yako kwa mambo ya kulazimisha.... Unawezaje kufananisha tukio la boko John na tukio la metacha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ina kosa gani hapo sasa ,kwani maamuzi wanayafanya wao au marefa wasiojua namna ya kutafsiri Sheria??

Wekeni marefa wenye uwezo tuone kama kelele zitaendelea kuwepo
 
Mo Mjanja sana usidhani yeye ni mwehu kulipa mishahara wachezaji na kuhonga waamuzi.
 
Ndala fc kwa kijisahaulisha kipindi cha malinzi walikua wananunua mpaka warusha mipira
 
Mo Mjanja sana usidhani yeye ni mwehu kulipa mishahara wachezaji na kuhonga waamuzi.
Kuepusha boss asijekujiuzulu tena timu lazima ishinde kila mechi. Kwa mtu mwenye hela anaeogopa kufungwa unajuwa atafanya nini ili aepuke aibu ya kufungwa? Mwamuzi mwenye njaa atafanya nini atakapochezesha timu ya tajiri mwenye woga wa kufungwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…