Kocha Stuart Baxter niliyemfahamu mwaka 2004 hadi 2005 na 'Mapungufu yake si Kocha sahihi Kuifundisha Simba SC yetu

Uchaguzi wa kocha una vigezo vingi, tusiwaingilie viongozi kwenye mchakato huo.
Kamwe haitatokea kuingilia mchakato huo Kama walivyoajiri makocha waliopita.
Acha kuwatukana viongozi Kama ni ushauri toa
 
Mbona povu linakutoka hivi Mkuu 🤣
 
Usianze kuwachanganya wanasimba wenzio asubuhi kabla hakujakucha,na mjiandae ubingwa unatiririkia jangwani Kwa miaka Saba mfululozo,mwaka huu hesabu ndio wakwanza🏃🏃
 
Hv una undugu wowote na yule mtangazaji wa Efm Oscar Oscar...mana hizi bongo zenu azijapishana sana.
 
Usianze kuwachanganya wanasimba wenzio asubuhi kabla hakujakucha,na mjiandae ubingwa unatiririkia jangwani Kwa miaka Saba mfululozo,mwaka huu hesabu ndio wakwanza[emoji125][emoji125]
Usimtishe Kolowizard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…