Kocha Valvede Barcelona Yetu Anaipeleka Wapi?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Jana tumepigwa 2-0 na Sevilla kwao,ingawa ni 1st leg jumatano tutarudiana nou camp,lakini kwanini afanye upuuzi ule?Kweli unajaza Wachezaji wachanga pamoja na wageni unategemea nini?Mchezaji kama Prince Boateng hana hata siku mbili atangazwe rasmi kwenye kikosi ati unampanga 1st eleven?
Malcolm,Lenglet,hao madogo waliotoka kikosi B ,golini unamuweka Cillesen....unaanza mchezo kwa kikosi kuwakosa akina Dembele,Messi,Suarez,Coutiho,Busqet,Jord Arba,
Ni kama ulitaka timu ipoteze ingawa inajulikana Dembele ni majeruhi Ila Barcelona sio timu ya kufungwa hovyohovyo
Kingine Hii style ya kocha ya usajiri hata haieleweki lengo nini,tuna shida ya mabeki unaenda kuongeza viungo sasa cjui shida iko wapi,Gerald Pique Anafungisha kila kukicha bado tunae tu!Suarez anakosa mabao meeengi tunae tu,Dembele anatuokoa sana lakini eti una mpango wa kumuuza,akili kweli?basi aweekee mkazo swala LA Neymar kutaka kurejea ni bora kuliko kujaza wachezaji ambao mwisho wa siku mchango wao wala hatuuoni,Artulo Vidal nae bishop tu
Jamani Barca wenzangu huyu Valvede anatupeleka Wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kocha na wachezaji pia,
Malcom pale ni mzigo tu hana tofauti na Andre Gomes....auzwe tu hata kwa mkopo sawa tu.

Coutinho nae hana jipya, bora asepe tu coz anashindwa kutuonyesha ubora wake, kashindwa goli la wazi kabisa... pia goli la pili limetokea kwake kapokonywa mpira kizembe kabisa utadhania Shishimbi na Kariobangi bhana!

Kuhusu usajili wa Boateng wamelamba garasa...nilitegemea mmoja kati ya hawa angetufaa sana sana, LCARDI, Lewandowsky, Aguero, Harry kane and Cavani...binafsi LCARDI namkubali na angetufaa sana pale. Huyu kocha sijui ana matatizo gani jamani!!

Mwisho kabisa, uwepo wa Messi ushindi ni lazima...huyu kocha amekosea sana kumpumzisha, tatizo lake hajifunzi results za nyuma yupo yupo tu kama mzigo hata hajui afenyeje...first leg ilikuwa hivi hivi tukapigwa goli 2 na LEVANTE Messi hakuwepo, second leg tukashinda goli 3 kwa msaada wa Messi..."No Messi no Party"

Messi 1
Dembele 2

i hope second leg tutawalamba sio chini ya goli 4
 
Huyu jamaa hadi leo siamini kama ni kocha pale Barca.
Screenshot_20190124-182400~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yule kocha alimuuza yeri Mina beki mzuri wa kati! halafu unamuacha pique anachomesha kila siku.. coutinho hapewi nafasi, Malcom pia Denis Suarez halafu anataka kuwauza!
Sasa mtu hapewi nafasi.. halafu unasema kafeli!.. eti boateng!! lile Zee la kazi gani sasa?? Barça hii ni utumbo mtupu
 
Barca hii imechoka,wakati ni ukuta huwezi pingana nao.beki za kati zimechoka sana,Gerald pique amecheza miaka mingi na ameisaidia sana Barca sio mtu wa kumdharau sasa hivi,Luis Suarez bado ni mchezaji mzuri sana,World Class player,Icardi ni average player tu huwezi mlinganisha na LS.Tatizo kubwa lipo katikaki na beki za kati basi.Pale kati kumemkosa Iniesta na Xavi mwingine,yaani wapishi hakuna,mtu wa kukaa na mpira mguuni akiwa na watu zaidi ya wanne na kuweza kuwa manage,hawa watu hakuna tena Barca.Hawa ma yanki kina Malcolm ni matumizi ya baadae huwezi wahukumu sasa wakati benchi ndo kibanda chao kila mechi.
Ifike mahali tukubali tu kwamba Barca era is over,cha msingi wajipange upya kwa mikakati mipya tu.Yaani ukiwauliza watu hata timu zinazoweza kubeba champs league mwaka huu,Barca wameshaisahau kabisa yaani inaonekana kama average team tu.Imeshachacha.
Swala ni kujipanga upya tu.
Fact😛engo la Neymar linawatafuna barca hadi leo,hata management walishakiri hilo.
Kikubwa ni ku move on with another superior plan...
good day.
 
Dennis Suarez mzuri sana nilimwona game Fulani nyuma hapa ni kweli hawapi nafasi

Kamanda, Tunae DEMBELE tena ni mzuri zaidi ya Neimar ambae alikuwa anarukaruka na kujiangusha...huko psg kitu gani cha maana amekifanya! Niambie since ametua pale Kombe gani amechukua kama yeye ni msaada kweli? Sometimes tuwe wakweli kamanda...
 
Dembele ni mzuri lakini hana uwezo wa Neymer,tuache unafiki na chuki za ki Argentina na Brazil.Kama kuchukua kombe ni kipimo pekee cha uzuri wa mchezaji,hata Olivier Jeroud kachukua WC na hajapiga suti hata moja.Je tuseme ni mzuri kuliko messi sasabu mesi hana hata kombe moja na National team?.Neymar toka ende PSG nambie mwaka ambao ame flop,ametoka Santos kaja barcelona amepiga mpira mrefu sana,ameenda PSG bado yupo kwenye kiwango chake cha Juu,Kuhusu makombe amechukua league 1 na akiwa na mchango wa magoli kwa zaidi ya 90%.Hata uchezaji wao ni tofauti kabisa,Dembele anatumia energy sana na skills alizonazo pia but neymar uses more skills wakati anacheza kuliko energy.Neymar plays a very simple and skillfull football kama kina Lionel messi.Mafanikio ya Neymar Barcelona Dembele hajafikia hata Nusu,yuko vizuri msimu huu but he need more year to accomplish what Neymar did akiwa Barcelona.Nikuulize swali,unajua mchezaji mwenye thamani kubwa kwa sasa duniani ni nani?.Usinambie lionel messi wala Ronaldo,their era is over.
 
Kamanda, Tunae DEMBELE tena ni mzuri zaidi ya Neimar ambae alikuwa anarukaruka na kujiangusha...huko psg kitu gani cha maana amekifanya! Niambie since ametua pale Kombe gani amechukua kama yeye ni msaada kweli? Sometimes tuwe wakweli kamanda...
Huyo neymar ndio sitaki hata kumsikia akiwa amerudi pale .. nimchezaji mwenye utoto utoto mwingi hatoweza kuisaidia timu kwa chochote .....

Daah nimechoka sana niliposikia kwamba boarteng anakuja barca .. manina wallahi ..barca ndio imekuwa timu ya mamluki kaisi hichi !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom