ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Jana tumepigwa 2-0 na Sevilla kwao,ingawa ni 1st leg jumatano tutarudiana nou camp,lakini kwanini afanye upuuzi ule?Kweli unajaza Wachezaji wachanga pamoja na wageni unategemea nini?Mchezaji kama Prince Boateng hana hata siku mbili atangazwe rasmi kwenye kikosi ati unampanga 1st eleven?
Malcolm,Lenglet,hao madogo waliotoka kikosi B ,golini unamuweka Cillesen....unaanza mchezo kwa kikosi kuwakosa akina Dembele,Messi,Suarez,Coutiho,Busqet,Jord Arba,
Ni kama ulitaka timu ipoteze ingawa inajulikana Dembele ni majeruhi Ila Barcelona sio timu ya kufungwa hovyohovyo
Kingine Hii style ya kocha ya usajiri hata haieleweki lengo nini,tuna shida ya mabeki unaenda kuongeza viungo sasa cjui shida iko wapi,Gerald Pique Anafungisha kila kukicha bado tunae tu!Suarez anakosa mabao meeengi tunae tu,Dembele anatuokoa sana lakini eti una mpango wa kumuuza,akili kweli?basi aweekee mkazo swala LA Neymar kutaka kurejea ni bora kuliko kujaza wachezaji ambao mwisho wa siku mchango wao wala hatuuoni,Artulo Vidal nae bishop tu
Jamani Barca wenzangu huyu Valvede anatupeleka Wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app