Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
On target moja tuu mwanawane.Yaan ucheze dk 90 hamna on target af usifie ulipossess mpira?
Pamoja na Simba kubebwa goli la clear offside lakini bado Azam kiwango chake ni kibovu sana, wamecheza ovyo sana jana, Mpira tumeangalia wote, safu ya ulinzi na ushambuliaji ni majanga, badala ya kufanya sub mapema yeye ni kama vile alikuwa hana sub pale bench!
Alpitua bby Johnson due c kw vile ulivyokuwa mlenda....hata tukicheza nao Leo tena tutawakanda tenaOn target moja tuu mwanawane.
Goli moja ni offside ila asitudanganye hapa kwamba wamecheza vizuri.
Insipid performance, ata mechi ya coastal second walicheza vibaya.
Jana yeye sub zake zilichekewa sanaaa, wingerrs wake wote wawili had no impact on he game, offsides kibao, unforced errors nyingi tuu na yule beki aloooo....ni kama alipakwa mafuta ya p daddy