Kocha wa Azam: Timu yangu imecheza vizuri, tatizo refa

Hapo hakuna Kocha hapo...!

Mzee Bakharessa kala hasara nyingine...Disemba huyo hafiki...sijui kamtoa Wapi?

Hakuna Shambulio Lolote la Maana Kafanya, yeye anajivunia possession tu na mipasi ya kurudi nyuma..!
 
Magoli ya Simba ni clear offside, hii ligi mbovu kabisa! Azam wakate rufaa wameonewa!!
 
Yaan ucheze dk 90 hamna on target af usifie ulipossess mpira?
On target moja tuu mwanawane.
Goli moja ni offside ila asitudanganye hapa kwamba wamecheza vizuri.
Insipid performance, ata mechi ya coastal second walicheza vibaya.
Jana yeye sub zake zilichekewa sanaaa, wingerrs wake wote wawili had no impact on he game, offsides kibao, unforced errors nyingi tuu na yule beki aloooo....ni kama alipakwa mafuta ya p daddy
 
Alpitua bby Johnson due c kw vile ulivyokuwa mlenda....hata tukicheza nao Leo tena tutawakanda tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…