Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Huyu Valvede ni kocha bomu kabsa pale Barca. Kaifanya timu iwe dhaifu sjapata ona. Ule mpira wa barca haupo tena timu inacheza kizembe zembe tu.Toka afike amekuwa akisajili wachezaji kwa gharama kubwa lakini kashindwa kabsa kuwatumia. Mfano ni Coutinyo,Dembele,kuna yule dogo alietoka Ajax kawa mweupe balaa. Hana mbinu timu ikizidiwa,yupo yupo tu baada ya matokeo ya Uefa dhidi ya Liverpol alitakiwa kutimuliwa