Kocha wa barcelona anasajili wachezaji hawezi kuwatumia

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Huyu Valvede ni kocha bomu kabsa pale Barca. Kaifanya timu iwe dhaifu sjapata ona. Ule mpira wa barca haupo tena timu inacheza kizembe zembe tu.Toka afike amekuwa akisajili wachezaji kwa gharama kubwa lakini kashindwa kabsa kuwatumia. Mfano ni Coutinyo,Dembele,kuna yule dogo alietoka Ajax kawa mweupe balaa. Hana mbinu timu ikizidiwa,yupo yupo tu baada ya matokeo ya Uefa dhidi ya Liverpol alitakiwa kutimuliwa
 
Poleni wana Barcelona uvumilivu unahitajika tu
 
Timu wampe Wenger.
 
Siku zake zinahesabika pale. Baada ya kipigo cha aibu kama cha mbwa mwizi kutoka kwa Liverpool kocha aliponea chupuchupu kutupiwa virago ukichukulia pia season ya nyuma yake team ilipigwa tena kwenye mazingira kama yale
 
Tatizo la Barcelona sio kocha tu hata uongozi na wakipumbavu maana Barcelona na hata Madrid kwenye ishu za kusajili wachezaji viongozi ndo huleta wachezaji wanaowataka,kocha yeye ana nafasi ndogo sana kusajili kwa misimu 3 barcelona imezidi kuwa nyanya kwenye beki lakini hakuna jitihada wanang'ang'ania viungo na washambuliaji..

Wapigwe tu
 
Yeri Mina
Lenglet
Hawa zama zao zishaishaaaa
 
Rais mwenyewe wa Barcelona ni mshamba sana.
Inabidi andoke Rais mpaka kocha
 
Barcelona bila Messi ni sawa na Ruvu shooting tu
 
As a barca fan, I ain't provide any challenge to any team this season unless Valverde is out of barca
 
Tofauti ya "Valvede" na "Amunike" ni rangi na lugha tu.
 

Usajili wa Barca haufanywi na kocha. Ni uongozi wa timu ndio unaofanya usajili. Kwaiyo hizo shutuma nyengine hazina mashiko.
 
Ukiona hivyo nwisho wake umefika. Hakuna timu inayokuwa kileleni maisha. Hata Brazil ilikuwa juu imeshuka. Man U, Real Madrid na Bayern nazo zimeporomoka. Liver ilitamba ikaporomoka sasa hivi ndio imeinuka tena. Timu ikishatoka kileleni huchukua si chini ya miaka 10 hadi 15 kurudi kileleni baada ya kupata kizazi kipya. Ufaransa zamani timu xilizovuma ni Marsele na Leon(sina uhakika na spelling)leo ziko wapi? Safari ya Barca kuporomoka imeshaanza kutokana na kizazi cha akina Messi kufikia ukingoni mwa kucheza mpira. Kutengeneza kizazi kipya ni mpaka miaka 10 hadi 15 ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…