Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Taarifa za usajili nchini Afrika Kusini zinamtaja Kocha mkuu wa klabu ya FC Bayern München Vicent Kompany kuwa amepanga kumsajili mlinzi wa pembeni wa klabu ya Mamelodi Sundowns FC raia wa Afrika Kusini Khuliso Mudau katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari.
Awali Kompany alidhamiria kumsajili Mudau akiwa kocha mkuu wa klabu ya Burnley lakini mambo hayakwenda sawa mpaka pale alipoondoka klabuni hapo.
Ambapo kwasasa ana nia ya dhati ya kumjumuisha katika kikosi chake Cha The Bavarians.
Ambapo kwasasa ana nia ya dhati ya kumjumuisha katika kikosi chake Cha The Bavarians.