Baada ya timu ya Coastal Union kufanya vibaya katika michuano ya ligi kuu.. Kocha Mkuu wa timu hiyo Joseph Lazaro Leo amejiuzuru kuitumikia timu hiyo.
Sababu alizotoa ni mwenendo mbaya wa timu uliotokana na usajiri mbovu.. Pia sababu nyingine ni "njaa" kwani wachezaji wanacheleshewa marupu rupu yao.
Source: Sports Xtra.