Kocha wa El Merreikh ya Sudan kujiunga Simba

Kocha wa El Merreikh ya Sudan kujiunga Simba

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ni mfaransa, karibu sana simba kwanza tunataka utuhakikishie points atleast 4 toka kwa hao waajiri wako wa zamani.

✍️
Kocha wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan
🇯🇴
Didier Gomes da Rosa
🇫🇷
ameachana na klabu hiyo.

Taarifa zinadai huenda akawa kocha wa mabingwa wa Tanzania
🇹🇿
Simba SC.

rosaaa.jpg
 
Hata Jana mlisema Ibenge.
hata kwa common sense jamani Ibenge anajiungaje simba?yuko na team ya taifa CHAN na kuna uwezekano kawa huko hadi february ,tarehe 13 tuna mechi na as vita,we unaona inaingia akilini kweli?
Huyu Rosa keshaacha kabisa kazi El merreikh ameaga rasmi
 
Bora angeendelea huko kwenye mkataba unaoleweka hapa akikorofishana kidogo na SII OO out
 
[emoji28][emoji28][emoji28]kesho utasikia Mikel Arteta ametuma CV Simba
 
Back
Top Bottom