Kocha wa Esperance awahofia Simba

Kocha wa Esperance awahofia Simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
#MICHEZO Baada ya hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika kukamilika, kocha wa Esperance de Tunis, Nabil Maalou amesema kuwa singependa kupangwa na Simba kutokana na umbali baina yao pamoja na hali ya mashabiki wake.

"Ninapendelea kupangwa na Al Ahly au JS Kabylie hatua ya Robo Fainali ya CAFCL, kwa sababu ya ukaribu wa umbali. Sipendelei kupangwa na Simba kutokana na umbali kati ya Tanzania na Tunisia na mashabiki wao pia"

Source: #MickyJr

Je unamwamini huyu kocha .....au anawakejeli madunduka??? [emoji23]
1680537777064.jpg
 
Uchambuzi wangu
Huyu kocha naona anataka Wana lunyasi waombee wapangwe nae .....then waingie kwenye mfumo

Ili makolo Wapigwe nyingi....
Uto bhana mna akili kinyesi Sana .

Huku mlishindwa mkaenda luzas Kap.

Tuacheni na shughuli yetu. Hili Ni kombe la mabingwa!
 
Ukiangalia nyuzi nyingi, michango mingi ktk nyuzi humu zinaizungumza Simba iwe kwa uzuri au ubaya.

Utopolo Raha yao Ni kuongea habari za Simba hawajui km wao Wana timu yao inaitwa Yanga.

Hii Ndiyo maana ya brand kubwa .
 
Young Africans ni baba wa futball
 
Uchambuzi wangu
Huyu kocha naona anataka Wana lunyasi waombee wapangwe nae .....then waingie kwenye mfumo

Ili makolo Wapigwe nyingi....
Hii so hatua ya kocha kujiamini. Kuingia robo maana yake uko bora. Sio hatua ya mzaha.

Japo viwango vinatofautiana Sana.
 
Back
Top Bottom