Hata miye naona anatumia saikolojiaUchambuzi wangu
Huyu kocha naona anataka Wana lunyasi waombee wapangwe nae .....then waingie kwenye mfumo
Ili makolo Wapigwe nyingi....
[emoji23]Anasubiri wajichanganye wapigwe kama ngoma
Uto bhana mna akili kinyesi Sana .Uchambuzi wangu
Huyu kocha naona anataka Wana lunyasi waombee wapangwe nae .....then waingie kwenye mfumo
Ili makolo Wapigwe nyingi....
Young Africans ni baba wa futballUkiangalia nyuzi nyingi, michango mingi ktk nyuzi humu zinaizungumza Simba iwe kwa uzuri au ubaya.
Utopolo Raha yao Ni kuongea habari za Simba hawajui km wao Wana timu yao inaitwa Yanga.
Hii Ndiyo maana ya brand kubwa .
Hii so hatua ya kocha kujiamini. Kuingia robo maana yake uko bora. Sio hatua ya mzaha.Uchambuzi wangu
Huyu kocha naona anataka Wana lunyasi waombee wapangwe nae .....then waingie kwenye mfumo
Ili makolo Wapigwe nyingi....
MACHOKO mna TABU sana,kumbukeni hilo ni Kombe la KLABU BINGWA na sio Kombe la KUSHIRIKISHWA,kwamba ushikishwe ukuta Kombe la Wanaume kisha udondokee Kombe la MACHOKO kama SHIRIKISHOHuyo kocha atakuwa na hulka ya uongo. Maana ukweli anaufahamu fika.