mbuzimawe99
JF-Expert Member
- Nov 23, 2021
- 231
- 802
angekuwa Baba wa Futbal angekuwa Kombe la KLABU BINGWA na Wakubwa wenzake na sio Kombe la MACHOKO la kushirikishwaYoung Africans ni baba wa futball
Kwnn msimu uliopita mlikuwa mna roga uwanjaniMACHOKO mna TABU sana,kumbukeni hilo ni Kombe la KLABU BINGWA na sio Kombe la KUSHIRIKISHWA,kwamba ushikishwe ukuta Kombe la Wanaume kisha udondokee Kombe la MACHOKO kama SHIRIKISHO
Kwani simba tunajipangia Timu ya kucheza nayo?Anasubiri wajichanganye wapigwe kama ngoma
Kwani we horoya ilikuwa inashiriki kombe gani?Kwani horoya ni timu ngumu????
Leo umeandika kwa upole maana ameongea kocha mwenyewe. By the way, droo ndio inayoamua, sio maombiUchambuzi wangu
Huyu kocha naona anataka Wana lunyasi waombee wapangwe nae .....then waingie kwenye mfumo
Mpira sio historia mkuuTimu zilizoshika nafasi ya pili katika makundi ya shirikisho
Kundi A: USM Alger: Huyu alifanikiwa kuongoza kundi D la shirikisho mwaka 2018...aliibugiza Yanga goli 4-0 pale jijini algers katika mechi ya kwanza tu ya ufunguzi wa kundi...itoshe kusema kuwa yanga aliburuza mkia akiwa na jumla ya alama 4 nyuma ya Gormahia,Rayon sport na USM Alger
Kundi B: Rivers United ....huyu aliwazamisha mwiko utopolo nyumbani na ugenini
Kundi C: Pyramids...licha ya Yanga kuihamisha mechi ikachezwe kirumba mwaka 2019...Pyramids walikimaliza kipakti cha Salama kwa goli tayu za kibabe na kule misri waliwafunga utopolo bao 2....Yanga aliaga mashindano ya shirikisho kwa staili hiyo.
Hivyo yanga anakwenda kukutana na wajanja wake na itoshe kusema kuwa wameumaliza mwendo
kwenye kombe la losers/walioshindwa sawa! nikukumbushe kuwa yanga walikuwa kwenye mashindano ya mabingwa wakashindwa na kutolewa! wakapelekwa kwa washindwa wenzao! Huko wanasukumana walevi kwa walevi!!Young Africans ni baba wa futball
Mwulize horoya atakupa jibu!Simba ni kigogo ...mm naona bado n underdog
Hujawahi hata kucheza fainali achilia mbali kubeba Kombe afu unajiita Kigogo, hayo ndio matatizo ya AKILI sasa.Hao wote ni vigogo wa soka barani afrika,ni lazima waogopane,ni hulka ya vigogo hiyo.