#MICHEZO Baada ya hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika kukamilika, kocha wa Esperance de Tunis, Nabil Maalou amesema kuwa singependa kupangwa na Simba kutokana na umbali baina yao pamoja na hali ya mashabiki wake.
"Ninapendelea kupangwa na Al Ahly au JS Kabylie hatua ya Robo Fainali ya CAFCL, kwa sababu ya ukaribu wa umbali. Sipendelei kupangwa na Simba kutokana na umbali kati ya Tanzania na Tunisia na mashabiki wao pia"
Source: #MickyJr
Je unamwamini huyu kocha .....au anawakejeli madunduka??? [emoji23]
View attachment 2575316