Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Baada ya hapo Conte au KloppAnafuata Slaven Bilic.
Believe it or not
Shakespare(c.Palace)Baada ya hapo Conte au Klopp
Alishaga wasomea albadiri washabiki na wamiliki wa the gunnersWenger anadunda tu despite ya vipigo anavyopataga
NA yeye sasa hivi mtumbi umetoboka, ataafanyaje kikombe cha akina Deboar, Shakespere, Koemana akiwezi mpita msimu huu.Kati ya makocha wanaowapa viongozi wao tabu Bilic yupo utashangaa anashinda game nne mfululizo mpaka viongozi wanashindwa kumngoa
Slaven Bilic yametimia......Shakespare(c.Palace)
koeman(everton)
....... who nxt kati ya Bilic na Klopp
Tony Pilius wA westbromwhich alibion kibarua kimeota nyasi......Slaven Bilic yametimia......
Je nan atafuta.... Conte, klopp au Wenger!!!!!
Afadhari Jose kama Liza supp zake.
haha hahaAfadhari Jose kama Liza supp zake.