Kocha wa Harambee stars aivimbia Kenya kwa sababu ya umasikini wa Kenya

Sasa umekua ukiimba hapa kwamba hatuna pesa na umeshindwa kuleta ushadi kwamba mlimlipa kocha wenu wa kitambo ...
Mimi nilisha kuonyesha kocha wa kitambo tulimlipa sh60m, kwahivyo so far ni Tanzania ndo haina pesa!
Mtabishana bure kama watoto na huyo jamaa,huwa hana any proof,
Kazi ni kupayuka kama kindergarten kid.
 
Blah blah blah kumbe ni nyinyi ndo hamna hela !!!!! Bure kabisa!

Huyu kocha wetu ametamka haya maneno juzi juma pili, Bado hata wiki haijaisha , mambo ya serekali husonga pole pole, we tulia hapo utajionea....

Lakini kwasasa tunajua Tz haikumlipa kocha wa kitambo hadi Sasa.. inasikitisha Sana kuona nchi ya kidikteta inavyoendeshwa .
 
Mbona yule mchina alipowaita Nyani mlimtimua within 48hrs, iweje huyu mnasema mnahitaji muda?, kitendo alichokifanya kinahitaji kuchukuliwa hatua haraka, serikali yenu haijatoa tamko lolote kuhusu kauli yake hii ya udhalilishaji, hii ni dalili kwamba haijawagusa kwasababu mumezoea kudhalilishwa, kama wachina kule SGR wanawachapa viboko na kuwadhalilisha na hakuna hatua zozote mnazochukua, tatizo umasikini ndio unaowasababisha mshindwe kumsimamisha kazi na kumfurusha nchini. Yaani matusi yote Yale lakini hata kumsimamisha kazi hamuwezi kwa kuogopa kulipa shs. 50M?, kweli umasikini ni tatizo
 
Hujamwelewa, amekurudishia lawama, anasema amunike hakulipwa, namwuliza asingelipwa asingeondoka, angegoma kama huyo mzungu wao
 
Embu leta hiyo evidence kwamba hatujamlipa, sisi tunayo evidence ya kocha wenu kutolipwa na kuwadhalilisha. Leta complains za amunike
 
Usidanganyike we' mdanganyika. Kwa upande wa michezo Kenya ndiye King, hana mpinzani EA.
.Riadha
.Mchezo wa raga
.Mpira wa kikapu
.Mpira wa wavu
.Soka n.k
.....
, Kenyans have higher quality of life than other East Africans
_-------
Naja kibera sitaki maneno mingi
 
Kwahiyo kwasababu mnaogopa kulipa 50M, mumechagua kudhalilishwa na kufedheheshwa na huyo Mzungu?, heri lawama kuliko fedhea. Kenya hamna pesa ya kumlipa, na yeye analijua hilo ndio sababu anawadharau na kuwatukana kila siku.
"Kudhalilishwa na kufedheheshwa Na huyo Mzungu". I have had a look at the history of your coaches in the recent past and I have come to one simple conclusion: Nyinyi Midanganyika ni wapumbavu tu. Mumukuwa ni historia ya Kuwa na makocha wazungu tangu enzi za jadi. Iweje leo Mzungu amekuwa mkejeli. Sadfa ilioje!
 
Usidanganyike we' mdanganyika. Kwa upande wa michezo Kenya ndiye King, hana mpinzani EA.
.Riadha
.Mchezo wa raga
.Mpira wa kikapu
.Mpira wa wavu
.Soka n.k
.....
, Kenyans have higher quality of life than other East Africans
_-------
Unaweza ukawa na uchumi mzuri lakini kiupande wa footbal mkawa na hali ngumu

Nyinyi naona mko hali rahisi na nafuu Sana πŸ˜‚ πŸ˜‚

 
Hivi unaelewa kinachozingumzwa?, hatuzungumzii rangi ya ngozi ya huyo kocha, tunachozungumza ni kitendo chake cha kusema hamuwezi kumfukuza kwasababu hamna pesa ya kumlipa, Maneno hayo ni udhalilishaji wa nchi yenu, hata kama yamesemwa na kocha toka Kenya(Jaluo), bado yanabaki kuwa udhalilishaji.
 
LETA USHAHIDI MLIMLIPA KOCHA WENU WACHA KUKIMBIA !!! πŸ˜›
 
LETA USHAHIDI MLIMLIPA KOCHA WENU WACHA KUKIMBIA !!! πŸ˜›
Kwahiyo ninyi mtaendelea kuvumilia huo unyanyasaji wa huyo kocha hadi mtakapopokea ushahidi wa Tanzania kumlipa kocha?, hivi wewe kwa upumbavu wako, kocha anaweza kuondoka bila kulipwa na akae kimya?, kama inawezekana, jaribuni kumfukuza huyo anayewadhalilisha bila kumlipa pesa yake muone kitakachowakuta. Kshs 50M pekee ndio inawafanya mnashindwa kumfurusha?.
 
Epic fail !!!!!!!! Umeshindwa na hoja. ha!
 
Poleni sana ndugu zetu wakenya kwa udharirishaji mnaokutana nao siku za karibuni huku wamama wanaaandama, yesu nae kafufuka huko huko, kocha nae nina wasi siku za karibuni anaweza mtia dole hata rais wa fkf kwa kuwa anajua hawana lakumfanya. Udugu ni kusaidiana naomba watanzania wenzangu tuchange jero jero ya kumlipa huyo kocha ili ndugu zetu wapumue kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…