Kocha wa libya; Fei toto ondoka Afrika haraka ulaya ni sehemu sahihi kwako kwa wakati huu

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Kocha wa Timu ya taifa ya Libya ambaye amewahi kuzifundisha kwa nyakati tofauti timu ya taifa ya Kenya na vilabu vya Usm Alger na Es Setif bwana Adel Amrouchi amekunwa na kiwango cha kiungo Fei Toto

Mwalimu huyu anamshauri Fei Toto aondoke Afrika haraka sana asipoteze muda sababu sehemu sahihi kwake ni ulaya kutokana na uwezo wake mkubwa wa kusakata kabumbu

 
Anaondokaje Afrika akiwa Yanga? Wachezaji wanaotoka Simba ndio huondoka Afrika.
 
Duh,huwa wanainufaishaje timu?
Maana mpaka leo bado haijavuna faida hio imekalia kumtegemea mtu mmoja tu
Anaondokaje Afrika akiwa Yanga? Wachezaji wanaotoka Simba ndio huondoka Afrika.
 

Sidhani kama huyu Kijana anastahili Sifa hizi kwani bado hata hajafiki 15% ya uwezo walionao Wachezaji wengi mahiri wa Viungo Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…