ruralofficer JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,494 Reaction score 3,630 Nov 3, 2018 #41 oscarsolomon said: Kwa kale kale kagoli? Namashaka na elimu ya mpira ya huyo kocha Click to expand... Duh!! magoli sio kipimo pekee cha kupima mchezaji.Hivi unajua anacheza nafasi gani?
oscarsolomon said: Kwa kale kale kagoli? Namashaka na elimu ya mpira ya huyo kocha Click to expand... Duh!! magoli sio kipimo pekee cha kupima mchezaji.Hivi unajua anacheza nafasi gani?
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Nov 4, 2018 #42 nzagambadume said: alitoroka boss hakuuzwa alienda kweli south kwa kutoroka Click to expand... Aliuzwa ila kipindi hicho ubabaishaji ulikuwa mwingi pesa zinaingia mfukoni mwa viongozi sio kwenye klabu
nzagambadume said: alitoroka boss hakuuzwa alienda kweli south kwa kutoroka Click to expand... Aliuzwa ila kipindi hicho ubabaishaji ulikuwa mwingi pesa zinaingia mfukoni mwa viongozi sio kwenye klabu