Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Mfaransa, Gerard Houllier aliyeiongoza Liverpool kutoka mwaka 1998-2004 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73. Houllier aliiongoza Liverpool kushinda mataji matano ikiwemo kombe la FA, Ligi na kombe la UEFA 2000-01.
Nafasi yake ya mwisho kutumikia ukocha ilikuwa kwenye klabu ya Aston Villa na kuondoka 2011 kutokana na matatizo moyo baada ya kuitumikia kwa miezi 9 pekee.
Nafasi yake ya mwisho kutumikia ukocha ilikuwa kwenye klabu ya Aston Villa na kuondoka 2011 kutokana na matatizo moyo baada ya kuitumikia kwa miezi 9 pekee.