Kocha wa Liverpool (1998-2004), Gerard Houllier afariki dunia

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mfaransa, Gerard Houllier aliyeiongoza Liverpool kutoka mwaka 1998-2004 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73. Houllier aliiongoza Liverpool kushinda mataji matano ikiwemo kombe la FA, Ligi na kombe la UEFA 2000-01.

Nafasi yake ya mwisho kutumikia ukocha ilikuwa kwenye klabu ya Aston Villa na kuondoka 2011 kutokana na matatizo moyo baada ya kuitumikia kwa miezi 9 pekee.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…