Kocha wa Mtibwa Sugar anafundisha mpira wakati wa mechi; huko mazoezini hafundishi?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Wakuu habari

MWADUI VS MTIBWA

Npo nasikiliza mpira kupitia redio hapa vikindu lakn kinacho nishangaza kocha wa timu hii anasikika Tena kwa sauti kupitia U FM akiwafundisha wachezaji wake kila hatua toka kupokea mpira atulize vp anawaelekeza nan ampe pas mchezaj akikosea utamsikia akilalamika imepelekea had wachezaj wa timu yake wakipoteza umakini.

Binafs naliona suala geni kwangu wajuz hebu mtudadavulie

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni kocha mzanzibar somebody badru, jamaa muongeaji Sana na mara zote waga anaona makocha wenzie hawajui kazi ya ukocha kuliko yeye

Anyway kutokana na swali lako, me naweza kujibu kuwa kocha badru ni mjuaji Sana, hapo anamaanisha wachezaji wake hawakuwa na mafunzo mazuri Kwa kocha aliepita ata afungwe ni ngumu Sana kutoa credit Kwa team pinzani,

japokuwa sometimes maelekezo wakati mechi ikiendelea inaweza kutokea pale ambapo kocha labda alipanga kumtumia mchezaji flani ambae ndio alitakiwa kuwa master plan alafu dakika za mwisho Kabla ya mchezo kuanza akakosekana au inatokana na kubadili ghafra mfumo wa mechi kutokana na kujua mfumo wa team pinzani hivo kocha analazimika kuja na mfumo (formation) tofauti na ambayo wachezaji hawajaifanyia mazoezi
 
Dah Kama huyo jamaa anajiona hivyo Kama atafanikiwa kuibakisha timu msimu ujao lazma atimuliwe wachezaj hawawez kukubal mfumo wake wanakosa uhuru

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Dah Kama huyo jamaa anajiona hivyo Kama atafanikiwa kuibakisha timu msimu ujao lazma atimuliwe wachezaj hawawez kukubal mfumo wake wanakosa uhuru

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
yule kocha ni mjinga ,atapigaje kelele vile dk 90 Kama mwehu ,kwani kambini alikuwa anafanya nini,Hadi unashindwa kumsikiliza vizuri mtangazaji
 
Back
Top Bottom