Huyo ni kocha mzanzibar somebody badru, jamaa muongeaji Sana na mara zote waga anaona makocha wenzie hawajui kazi ya ukocha kuliko yeye
Anyway kutokana na swali lako, me naweza kujibu kuwa kocha badru ni mjuaji Sana, hapo anamaanisha wachezaji wake hawakuwa na mafunzo mazuri Kwa kocha aliepita ata afungwe ni ngumu Sana kutoa credit Kwa team pinzani,
japokuwa sometimes maelekezo wakati mechi ikiendelea inaweza kutokea pale ambapo kocha labda alipanga kumtumia mchezaji flani ambae ndio alitakiwa kuwa master plan alafu dakika za mwisho Kabla ya mchezo kuanza akakosekana au inatokana na kubadili ghafra mfumo wa mechi kutokana na kujua mfumo wa team pinzani hivo kocha analazimika kuja na mfumo (formation) tofauti na ambayo wachezaji hawajaifanyia mazoezi