Kocha wa Nyasa Big Bullets kulalamikia chakula Kwa Wachezaji wake ni visingizio dhaifu

Kocha wa Nyasa Big Bullets kulalamikia chakula Kwa Wachezaji wake ni visingizio dhaifu

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Kocha unatutafuta uchawi, Kocha tafuta sababu za Msingi, Kocha acha visingizio hafifu kwani timu yako ni dhaifu tu haikuwa na uwezo wa kushindana na Simba hata mngekuja na chakula chenu.
 
Kocha uantutafuta uchawi, Kocha tafuta sababu za Msingi, Kocha acha visingizio hafifu kwani timu yako ni dhaifu tu haikuwa na uwezo wa kushindana na Simba hata mngekuja na chakula chenu.
Ukiona malalamiko hayo ujue ni utopolo hao wanahusika.
 
Kocha uantutafuta uchawi, Kocha tafuta sababu za Msingi, Kocha acha visingizio hafifu kwani timu yako ni dhaifu tu haikuwa na uwezo wa kushindana na Simba hata mngekuja na chakula chenu.
kwahiyo walitaka tuwapikie chakula??? ndugu zao utopolo walikuwa wapi
 
Bwege huyo, game ya kwanza walivyopigwa kwao ilikuwaje?
 
Isije ikawa walipigwa zongo la kwenye chakula.! Halafu wakaingi uwanjani wakiwa matumbo yamejaa gesi kwa dakika zote 90! Maana hawa ndugu zetu kwenye ushirikina tu, hawajambo.
 
Back
Top Bottom