Kocha wa riadha wa kenya arudishwa

gwantemala

Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
22
Reaction score
5
Hawa mijamaa walizoea kudanganya ulimwengu sasa dunia ni kijiji wanaumbuka tu kumbe si wakimbiaji wamezoea kukimbiza ming'ombe umasaini uko haya
 
Hawa mijamaa walizoea kudanganya ulimwengu sasa dunia ni kijiji wanaumbuka tu kumbe si wakimbiaji wamezoea kukimbiza ming'ombe umasaini uko haya
Unaongelea nini mkuu? Kocha wa Kenya karudishwa kwa nini? Doping ama?

Inaonekana umefurahi balaa!
 
Nimesikia alitoa sample ya mkojo wake akajifanya wa mkimbiaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…