Kocha wa Simba amelinda kibarua Cha AYUB LAKRED

Kocha wa Simba amelinda kibarua Cha AYUB LAKRED

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Robertino aliamua ku risk kibarua chake ili kulinda kibarua Cha Lakred.

Afadhali aliamua kumpanga kipenzi cha Wanalunyasi (Manula) na kumuacha Lakred ili asije kufukuzwa usiku wa manane.

Hivi ingekuwa vipi kama Robertino angempanga Lakred na akafungwa hizo 5G. Nadhani angetembea kwa mguu hadi nchini kwao. Kwa kuliona Hilo kocha kaona bora lawama ziangukie kwa mzawa Mwarabu wa watu abaki salama. Huu ndo uprofesa sasa wa kucheza na nyakat na mindsets za mashaabiki.
 
Kila nikimuangalia Jonh Noble Namshangaa Muwekezaji!!!!!!!!
FB_IMG_16992861457679534.jpg
 
Back
Top Bottom