Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Nawashangaa sana wanaomteteaUyu kocha anatabia mbovu, ata utolewe ufafanuzi wa namna gani kile alichokifanya ndio tabia halisi, Kwakua utovu wa adabu ni tabia yake, kunasiku atafanya Jambo la hovyo zaidi. Ni swala la muda tu.
pole kwa kupitwaUnahisi kila mtu anajua alichofanyiwa wawa?
Punguza mihemko...uliwahi kuona kocha yeyote akifanya utopolo wa huyu kocha mahali popote , hivi huyu kocha ni mzima kweli ?
HayaPunguza mihemko...
Tanzania watu wengi wanapenda timu sio mpira kama mchezo wenyewe ndio maana hat sheria hawazijui.We jamaa uwe mwelewa sehemu ya reasoning usitumie hisia
Mihemko tu ndo inawasumbua, kanuni hawazijui wanadhani mambo yanafanyika kienyeji enyeji tuTanzania watu wengi wanapenda timu sio mpira kama mchezo wenyewe ndio maana hat sheria hawazijui.
Kipigo cha goli 4 kimesahaulika eti ishu ya pablo ndo imekuwa big issueAnayefanya mabadiliko ni kocha mkuu, kama yale mabadiliko yalikuwa siyo maagizo yake yeye ndio amedhalilishwa.
Ni kweli hatuwezi tukawa sawa kwenye upambanuzi wa mambo hususani kwenye hii mijadala ambayo wengi wenu mnatumia hisiaKama unaamini udhalilishaji ni kuvuliwa bukta tu basi tupo na level tofauti kabisa ya kupambanua mambo.
Napat harufu ya Utopolo hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uyu kocha anatabia mbovu, ata utolewe ufafanuzi wa namna gani kile alichokifanya ndio tabia halisi, Kwakua utovu wa adabu ni tabia yake, kunasiku atafanya Jambo la hovyo zaidi. Ni swala la muda tu.
Hicho kichwa chako anza kutupiemo uchafu maana sizani kama kinakusaidia kuelewa mambo.Hivi yule kocha kufanya udhalilishaji ule alikuwa ana maana gani ? Hata kama hamtaki Wawa lakini si kwa unyama aliofanya.
Kiukweli nikiri kwamba jambo kama hili sijawahi kuliona kwenye soka, ni aibu sana.
View attachment 2056182
Wanajitahidi kufafanua mara kocha walitaka kuingia wawili lakini bado mantiki haiji kabisaHivi lile linahitaji kusoma mahali ? mbona mnataka kutufanya wajinga kiasi hicho ?
NakukumbushaUyu kocha anatabia mbovu, ata utolewe ufafanuzi wa namna gani kile alichokifanya ndio tabia halisi, Kwakua utovu wa adabu ni tabia yake, kunasiku atafanya Jambo la hovyo zaidi. Ni swala la muda tu.
Mantiki haiwezi kuja sababu tayari una maamuzi(majibu yako)Wanajitahidi kufafanua mara kocha walitaka kuingia wawili lakini bado mantiki haiji kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
UmekurupukaHivi yule kocha kufanya udhalilishaji ule alikuwa ana maana gani ? Hata kama hamtaki Wawa lakini si kwa unyama aliofanya.
Kiukweli nikiri kwamba jambo kama hili sijawahi kuliona kwenye soka, ni aibu sana.
View attachment 2056182
wadanganye wajingaUmekurupuka
tuwekee wewe hiyo mantikiMantiki haiwezi kuja sababu tayari una maamuzi(majibu yako)
Umekazana kamuaibisha wawa?tuwekee wewe hiyo mantiki